Ezekiel 23:12

12 aYeye naye aliwatamani Waashuru, watawala na majemadari, mashujaa waliovalia sare, wapandao farasi, wanaume vijana wote waliovutia.
Copyright information for SwhNEN